JUA MATUMIZI YA KODI YAKO KWA MWAKA 2013 - 2014

Kodi yangu ni mtandao ambao unaonyesha jinsi fedha za walipa kodi zinavyotumika na serikali kuu ya Tanzania, kwa kila mwaka.

Mwananchi anaweza kujua vipaumbele vya serikali kwa kila wizara na mkoa, pamoja na kupata mchanganuo wa uchangiaji wake kutokana na kodi anayochangia katika ujenzi wa Taifa.

Ingiza Mshahara Wako